Uhuru was Mwanamke

Ukuu was Mwanamke. Na hapo nimefikia mwisho was hotuba yangu kuhusu Uislamu… Makofi. Najua vipi vyakumpata na kumtania. Kwanini hunipi mkono ? Unataka kutokuchafuka ? Ndani ya Dini na Utamaduni wetu , wanaume hawapeani mkono na wanawake na hii ni ya maana kwamba heshima zaidi kwa ajili ya wanawake. Mfasiri : Suhail Saleh. facebook.com/islamcomic instagram.com/islamcomics […]

Uko wangu mzima ni Wafaransa

      Sawa Mama, Nitaenda kwa anti wikiendi hii, lakini pale mzee atapomruhusu mchumba wangu kuja na si. Sisi Waisilamu tuna matatizo mengi , na hiyo nikabu yako na wengine wanayovaa ni shida moja wapo. Sisi tumetoka mbali kwa ajili ya maisha hapa na sio kutangazia dini na historia.Kama unataka kutangazia dini na mtandio […]