

۲- .Kuandika ripoti ya sehemu Kama hii ni vigumu. Lakini kwasababu ni amri ya kiongozi, siwezi kusema kitu.
۳-.Nataka unipeleke Mimi mpaka mji wa karbalah. Kwenye njia hio hio wanayotembea watu.
۴- . Nenda kidogo kidogo, nataka nipige picha kadhaa. Hawa watu hawaogopi uvamizi wa daesh?
Daesh hana hata jeuri ya kuwakaribia hawa!
۶- Tutachelewa mpaka gari itengenezeke. Tutafute gari nyengine. Au wenyewe mtembee kwa miguu.
۷-. Hussein, Nabii Issa wote walisimama kupiga dhuluma.
۸-. Kila mwaka, kiwango cha chini ni watu milioni 25 wanatembea masafa ya kilomita 80 kwajili ya kumtukuza mjukuu wa Mtume wa Islam ambaye alipigania dini na mbele ya mahakimu wenye dhuluma na wachafuzi wa dini na kuuliwa na kwenye tukio hili la arobaini wanasema
۹-. Yani mwaka huu uliomba mwenyewe nafasi ya kuja safari hii?
-. Ndio


