Uko wangu mzima ni Wafaransa

      Sawa Mama, Nitaenda kwa anti wikiendi hii, lakini pale mzee atapomruhusu mchumba wangu kuja na si. Sisi Waisilamu tuna matatizo mengi , na hiyo nikabu yako na wengine wanayovaa ni shida moja wapo. Sisi tumetoka mbali kwa ajili ya maisha hapa na sio kutangazia dini na historia.Kama unataka kutangazia dini na mtandio […]