Sawa Mama, Nitaenda kwa anti wikiendi hii, lakini pale mzee atapomruhusu mchumba wangu kuja na si.

Sisi Waisilamu tuna matatizo mengi , na hiyo nikabu yako na wengine wanayovaa ni shida moja wapo.
Sisi tumetoka mbali kwa ajili ya maisha hapa na sio kutangazia dini na historia.Kama unataka kutangazia dini na mtandio wako, rudi nchini kwako na ishi utakavyo.

Ukoo wangu mzima ni Wafaransa na hii ni nchi yangu , ndugu yangu .
Uislamu ni dini yangu. Nyie Waisilamu wa kiarabu mumeiuza dini yenu na sisi tumeinunua kutoka kwenu.

facebook.com/islamcomic

instagram.com/islamcomics

twitter.com/islamcomics

https://t.me/Islamcomics

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *